Awali Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) lilitoa tarehe tatu za 17, 18 na 19 kuwa kati ya hizo mchezo unatakiwa kuchezwa na wenyeji wetu Nsingizini wamechagua 19 Oktoba.
Tayari kikosi chetu kimeanza mazoezi leo kuelekea mchezo huo chini ya Meneja, Dimitar Pantev pamoja na wasaidizi wake.
Advertisement
Mara ya baada ya kumalizika kwa ratiba ya mechi za kufuzu fainali ya Kombe la Dunia wachezaji waliopo kwenye majukumu ya timu za Taifa wataunganana na wenzao kwa ajili ya maandalizi ya kuelekea Eswatini.