Awali mchezo huo ulikuwa umepangwa kupigwa Jumanne ya Novemba 5 katika Uwanja wa KMC Complex sasa umepelekwa mbele siku moja.
Tayari kikosi chetu kimeanza maandalizi ya mchezo huo ambao tunategemea utakuwa mgumu kutokana na ubora wa wapinzani wetu.
Advertisement
Bodi ya Ligi imefanya mabadiliko mengine ambapo mchezo wetu namba 89 dhidi ya Pamba Jiji ambao ulipangwa upigwe Novemba 21 sasa utapangiwa tarehe nyingine.