Simba Sports Club
News

Mazoezi ya mwisho kabla ya kuivaa Bayelsa kesho

11 Nov 2022

Wachezaji wote wamefanya mazoezi hata wale waliopata maumivu kwenye mchezo uliopita kama alivyosema kocha mkuu Charles Lukula kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari.

Morali ya wachezaji ipo na malengo yetu ni kuhakikisha tunashinda ili kuipata nafasi ya tatu ili kurudi nyumbani tukiwa kwa heshima.

Advertisement

Bayelsa si timu mbaya inacheza vizuri na inatumia mchezo wa nguvu na kasi lakini tumejipanga kuhakikisha tunawadhibiti na kushinda mchezo.

Back to homepage
Share this story