Simba Sports Club
News

Matola aanza Kazi ashiriki mazoezi ya jioni

8 Nov 2023

Matola amerejeshwa kikosini baada ya klabu kuachana na kocha mkuu, Roberto Oliviera 'Robertinho' jana ambapo sasa atasaidiana na Daniel Cadena.

Wakati Robertinho anajiunga nasi Januari mwaka huu, Matola alienda masomoni na alipomaliza alipewa majukumu ya timu ya vijana kabla ya jana kupandishwa timu ya wakubwa.

Advertisement

Matola ambaye alikuwa nahodha wa timu yetu mara kadhaa amekiongoza kikosi chetu.

Back to homepage
Share this story