Simba Sports Club
News

Mastaa wa Mamelodi wamtakia kheri De Reuck

30 Jul 2025

Nyota hao wametumia mitandao yao ya kijamii kumtakia kheri De Reuck huku wakiamini atakuwa msaada mkubwa kwa Simba kutokana na uwezo pamoja na uzoefu wake.

Nahodha wa Mamelodi mlinda mlango, Rowen Williams amekuwa wa kwanza kumtakia kheri De Reuck baada ya kukamilisha usajili wake ndani ya Simba.

Advertisement

Kiungo mkabaji Teboho Mokoena nae amemtakia kheri De Reuck huku winga wa zamani wa Mamelodi, Sphelele Mkhulise nae pia akimtakia kheri.

Back to homepage
Share this story