Simba Sports Club
News Videos

Manula: Hatuna presha na mchezo dhidi ya ASEC

21 Feb 2024

Manula amesema mchezo huo ni mkubwa lakini hatutaogopa wala kuhofia bali tutafuata maelekezo ya walimu na lengo letu ni kuhakikisha tunashinda ugenini.

Manula ameongeza Simba ni timu kubwa na tumecheza mechi nyingi za aina hii katika mazingira tofauti kwahiyo tupo tayari kukabiliana na kila kitakachotokea.

Advertisement

"Tumeshakutana na aina hii ya mchezo, sisi kama wachezaji tupo tayari kufauata maelekezo tutakayopewa na walimu na lengo letu ni kushinda mchezo," amesema Manula.

Back to homepage
Share this story