Simba Sports Club
News

MAMBO MATANO USIYOYAJUA SIMBA VS AHLI TRIPOLI

15 Sep 2024

Yafuatayo ni mambo matano ambayo unapaswa kuyafahamu kabla ya kuanza kwa mchezo

1.Kwa mara ya kwanza Simba inacheza mechi yakufuzu makundi na timu kutoka Kaskazini mwa Afrika

2.Kwa mara ya kwanza Simba inacheza na timu ya Libya katika michuano ya kimataifa.

Advertisement

3.Simba imefuzu hatua ya makundi mara tano kati ya sita ilizocheza kuwania nafasi hiyo.

4.Wachezaji watano wa Simba wamecheza michezo yote 12 ya kuwania kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya CAF kuanzia 2019 ambao ni Aishi Manula, Mzamiru Yassin, Mohammed Hussein, Shomari Kapombe na Ally Salim.

5.Katika timu zote zinazoshiriki michuano ya Kombe la Shirikisho msimu huu, Simba ni timu ya tatu kwa ubora barani Afrika nyuma ya Zamalek, na RS Barkane,

Back to homepage
Share this story