Tumekuwekea mambo matano ambayo huyajui kuhusu mchezo wa leo...
1. Simba haijawahi kucheza katika Uwanja wa Mohammed wa tano.
2. Hii ni kwa mara ya kwanza Simba na Raja wanakutana katika ardhi ya Morocco.
Advertisement
3. Mechi itachezwa katika miezi miwili tofauti Morocco itakua ni Machi na Tanzania itakua ni Aprili kutokana na utofauti wa muda baina ya nchi hizi mbili.
4. Wydad Casablanca walitupa uwanja wa mazoezi lakini Raja wakatuomba tusiende kufanya mazoezi kwa Wydad bali tufanye katika viwanja vyao kutokana na upinzani baina ya timu hizo.
5. Matokeo yoyote yatakayo patikana kwenye mchezo wa leo hayataathiri msimamo wa kundi, na timu zote zimefuzu hatua ya robo fainali.