2. Azam haijawahi kutufunga kwenye Kombe la Shirikisho tangu kuanzishwa kwake, tumekutana nae mara tatu zote tumeibuka na ushindi hii leo ni mara ya nne tunakutana.
3. Julai Mosi, 2020 Robo Fainali
Simba 2-0 Azam (John Bocco, Clatous Chama) - Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Aprili 29, 2017 Nusu Fainali
Simba 1-0 Azam (Mohamed Ibrahim) Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Advertisement
Juni 26, 2021 Nusu Fainali
Azam 0-1 Simba (Luis Miquissonne) Uwanja wa Majimaji, Songea.
4. Simba ndo timu iliyocheza nusu fainali nyingi ya Kombe la Shirikisho kuliko yeyoye ikiwa imecheza nne ya leo ikiwa ya tano.
5. Hii ni nusu fainali ya pili mfululizo mlinda mlango namba moja Aishi Manula anakosekana langoni kwa sababu ya majereha.