Simba Sports Club
News

Mambo matano kuhusu mchezo wetu dhidi ya Power Dynamos.

16 Sep 2023

1. Agoati 6 tuliwafunga Power Dynamos mabao 2-0 katika mchezo wa kilele cha Simba Day uliofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

2. Hii ni mara ya kwanza kucheza mechi katika Uwanja wa Levy Mwanawasa ambao unaingiza mashabiki 45,000.

3. Hii ni mara ya tatu kuja nchini Zambia ambapo tumewahi kucheza katika mji wa Kitwe dhidi ya Nkana Red Devils na Lusaka dhidi ya Red Arrows

Advertisement

4. Nyota wetu Clatous Chama ambaye ni raia wa Zambia kwa nyakati tofauti amewahi kuichezea Power Dynamos.

5. Mwaka 2018 tulifuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuitoa Nkana Red Devils ambayo inatoka Zambia kwa jumla ya bao (4-3)

Back to homepage
Share this story