1.Eswatini ndio nchi ambayo Simba imewahi kushinda magoli mengi kwenye michuano ya Afrika. Tulifunga mabao manne kwenye mchezo dhidi ya Mbabane Swallows 2018.
2.Hii ni mara ya pili tumekuja kucheza mechi ya ligi ya Mabingwa nchini Eswatini baada ya mwaka 2018 kuja kuikabili Mbabane Swallows.
3. Wachezaji Shomari Kapombe na Mzamiru Yassin ndio pekee waliokuwepo mara ya mwisho Simba ikicheza Eswatini 2018.
Advertisement
4.Meneja Dimatar Pantev hajawahi kukaa kwenye Benchi kwenye mechi ya hatua kama hii ya ligi ya mabingwa Afrika leo itakuwa mara yake ya kwanza.
5.Ukitoa Afrika kusini, Simba haijawahi kupoteza mchezo wowote katika Nchi za kusini mwa Afrika.