Simba Sports Club
News

Maafisa wa CAF wakutana na Mo

17 Feb 2023

Maafisa hao ambao wamefika nchini juzi wamekutana na Mo na kujadiliana masuala mbalimbali ya maendeleo ya klabu pamoja na mafanikio tuliyopata katika kipindi cha miaka minne iliyopata.

Leo asubuhi Maafisa hao walitembelea ofisi zetu za klabu zilizopo Masaki na kupokelewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Salim Abdallah 'Try Again' Mwenyekiti wa klabu Murtaza Mangungu na Mtendaji Mkuu Imani Kajula.

Advertisement

Maafisa hao wanaendelea kufanya ukaguzi kuelekea michuano ya Super Cup ambayo itaanza baadae.

Back to homepage
Share this story