Kama kawaida tiketi zinauzwa hapa Coco Beach, jezi za Visit Tanzania na zile za M-bet zote zinapatikana kwenye gari la Vunjabei, kama uko mbali karibia Coco ukutane na Wanasimba wenzako tufurahi kwa pamoja kuivutia kasi Vipers.
News
LIVE: Wenye Nchi Beach Party kutoka Coco Beach
5 Mar 2023