Kikosi cha Simba kinachoanza
Beno Kakolanya (30), Said Noshard(43), Gadiel Michael (2), Erasto Nyoni(18), Henock Inonga (29), Jonas Mkude(20) Hassan Dilunga (24), Mzamiru Yassin (20) Jimmyson Mwanulke(27), Ibrahim Ajib (10) Bernard Morrison (3).
Kikosi cha Cambiasso
GK. Ismail Mpaki 2.Mohamed Omari 3 Isaya Ernest 4.Shabani Kingazi 5.Jackson Simba 6.Omary Hassa 7.Charlaes Masenga 8.Hija Shamte 9.Clement Kabela 10.Said Naushad 11.Manzi Limwinyi
Dakika ya kwanza - Simba Sc 0-0
Dakika ya 10 - Simba Sc 0-0 Cambiaso
Dakika ya 16 - Jimmyson anakosa goli baada ya kupiga shuti likidakwa na kipa Ismail mpaki wa Cambiaso
Dakika ya 19 - Beki Henock anatupatia goli la kwanza kwa kichwa akiunganisha mpira wa adhabu wa uliopigwa na Ibrahim Ajib
Dakika ya 24 - Cambiaso wanapata kona
Dakika ya 27 - Gadiel anajenga kibanda (Offside)
Dakika ya 30 - Simba wanapata faulo anapiga Ibrahim ajib mpira unaokolewa na beki wa Cambiaso
Dakika ya 31- Mabadiliko anatoka Beno Kakolanya anaingia Ally Salim
Dakika ya 33 - Ibrahim ajib analishika dimba vizuri akisaidia na Jonas Mkude na Bernard Morrison kwa pasi fupi fupi
Dakika ya 37 - Simba wanapata kona ikipigwa na Bernard Morrison mpira ukiokolewa na wachezaji wa Cambiaso
Dakika ya 43 - Ally Salim anadaka vizuri mpira wa mshambuliaji wa Cambiaso Clement baada ya kugongeana ndani ya boxi
Dakika 45- Mpira mapumziko Simba wakiwa mbele kwa bao 1-o goli likifungwa na mlinzi Henock Inonga
Kipindi cha pili - Mabadiliko upande wa SImba
Anatoka - Ibrahim Ajib, Gadiel Michael, Jonas Mkude na Said Norshad
Ameingia - Yussufu Mhilu, Saido Kanoute, Shomari Kapombe na Ambokile Mwaipopo
Dakika ya 46 Kipindi cha pili - Simba SC 1-0 Cambiaso
Dakika ya 54 - Yussufu Mhilu anakosa goli la wazi
Dakika ya 60 - Ally Salim anatoka anaingia Jeremiah Kisubi
Dakika ya 65 - Cambiaso wanafanya mabadiliko anatoka Manzi Limwinyi anaingia Ahmed Fred
Simba wanafanya mabadiliko anatoka Mzamiru Yassin anaingia Abdul Swamad Kassim Ally
Dakika ya 68 - Cambiaso wanasawazishia kupitia kwa Clement Kabela
Dakika ya 70 - Simba SC 1-1 Cambiaso
Dakika ya 77 - Mpira unachezwa kati kati ya uwanja huku wakishambuliana kwa zamu
Dakika ya 85 - Cambiaso wanakosa goli la wazi baada ya mabeki wa Simba kujichanganya
full Time - Simba SC 1-1 Cambiaso