Simba Sports Club
News

Live: Matukio yote yanayoendelea Simba Day

6 Aug 2023

Kuna matukio mengi yatatokea leo kuanzia sasa mpaka mwisho ambapo itakuwa mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Power Dynamos kutoka Zambia.

Tukio la kwanza, Mchezo wa kirafiki Simba Queens vs Masala Princess

FT: Simba Queens 4-0 Masala Princess

⚽ Shelda Boniface ⚽ Joelle Bukuru ⚽ Asha Djafar (2)

Advertisement

Mechi za Vijaza imemalizika

Baada ya mechi ya kirafiki ya Simba Queens ilifuatia mechi ya timu za vijana ambao tuliwagawanya kwenye makundi mawili.

Tuna vijana zaidi ya 80 na tumeunda timu nne ambazo zimecheza zenyewe ili kuwaonyesha Wanasimba, Simba yao ijayo itakavyokuwa.

Back to homepage
Share this story