Magori ambaye wakati huo alikuwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Klabu asimulia Bosi wao alivyoshangazwa na umati mkubwa wa Wanasimba aliokuta njiani wakati wanaelekea uwanjani. Asema alivyoona vile tu akajua shughuli itakuwa pevu uwanjani.
Magori amefunguka mengi Endelea kutazama Video..