Simba Sports Club
News

LIVE: Fuatilia Mubashara zoezi la kupanga ratiba ya AFL Bonanza kesho Coco Beach

13 Oct 2023

Katika uzinduzi huo kutakuwa na matukio mbalimbali ya burudani pamoja na bonanza na mchana huu kunafanyika droo ya upangaji wa ratiba katika Tawi la Nevada Buguruni.

Fuatilia moja kwa moja zoezi la upangaji wa ratiba ya mashindano hayo na utaratibu mzima utakavyokuwa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story