Simba Sports Club
News

LIVE: Fuatilia Mubashara Droo ya upangaji wa AFL

2 Sep 2023

Kuanzia saa 12:30 jioni tutakuwa Mubashara kupitia chaneli yetu ya YouTube kutokea Makao Makuu ya Klabu Msimbazi tukifuatilia kwa pamoja upangaji wa droo hiyo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story