Simba Sports Club
News

LIVE: Ceasiaa Queens vs Simba Queens

17 May 2023 By simbasc 231 views
Fuatilia Mubashara kupitia App hii mchezo wa mwisho wa Ligi ya Wanawake ya Serengeti Lite Women's Premier League kati yetu na Ceasiaa Queens utakaopigwa Uwanja wa Chuo Kikuu cha Mkwawa mkoani Iringa kuanzia saa 9:30 Alasiri.     https://www.youtube.com/live/UwrW9LgfpVY?feature=share
Advertisement
Back to homepage
Share this story