Simba Sports Club
News

LIVE: Bonanza la Ubaya Ubwela kutoka Viwanja vya Mwembe Yanga

28 Jul 2024

Fuatilia hapa kuona kila kitu kinachoendelea.

Mchezo wa kwanza umemalizika.

Simba HQ 1-0 Wekundu wa Mtogole

Bonanza la Ubaya Ubwela linazidi kupamba moto, mchezo mwingine umemalizika.

Advertisement

Wakwanza Sisi 1-2 Ukonga Mazizini

Bonanza la Ubaya Ubwela linazidi kupamba moto, mchezo mwingine umemalizika.

Kamati ya Roho Mbaya wameishia hatua ya kwanza, Mpira Pesa Mikumi wanaenda hatua inayofuata kwa mikwaju ya penati.

Mpira Pesa Mikumi 9-8 Kamati ya Roho Mbaya

Back to homepage
Share this story