Zira ni timu inayoshiriki Ligi Kuu nchini Azerbaijan na ipo Uturuki kwa ajili ya kambi ya maandalizi kujiandaa na msimu mpya wa mashindano 2023/24 kama ilivyo kwetu.
Hii ni mechi ya kwanza ya kirafiki tangu tufike hapa Uturuki na italipa mwanga benchi la ufundi kuona jinsi gani wachezaji wanaelewa mafunzo wanayowapa.