Simba Sports Club
News

Ladack ni Mnyama

8 Jan 2024

Ladack ni mchezaji kijana ambaye alikuwa nahodha wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ya Mtibwa Sugar iliyoshinda taji Agosti mwaka jana.

Katika michuano hiyo Ladack aliibuka mchezaji bora wa mashindano huku akiitwa pia katika timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'.

Advertisement

Ladack anakuwa mchezaji wa tatu kusajiliwa katika dirisha hili la usajili baada ya Salem Karabaka na Babacar Sarr.

Back to homepage
Share this story