Mandla raia wa Afrika Kusini amejiunga na kikosi chetu Novemba mwaka jana na amefanya kazi kubwa ya kuwafanya wachezaji wetu wawe kamili.
Uongozi wa klabu unamshukuru Mandla kwa kazi kubwa aliyofanya akiwa nasi na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya.
Advertisement
Mchakato wa kutafuta kocha mpya wa viungo unaendelea na tunategemea atapatikana kabla ya kuanza maandalizi ya msimu mpya wa ligi (Pre Season).