Kocha Zakaria amejiunga na kikosi chetu Novemba mwaka jana, kutokana na maboresho makubwa ya timu ambayo tumejipanga kufanya tumekubalina kutoendelea nae.
Simba inamshukuru Zakaria kwa kazi kubwa aliyofanya akiwa na kikosi chetu na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya ya mpira huko aendapo.
Advertisement
Uongozi wa klabu unaendelea na mchakato wa kutafuta mbadala wa Zakaria kabla ya kuanza kwa maandalizi ya msimu mpya (Pre season).