Simba Sports Club
News

Kwaheri Kelvin Kijili

13 Jul 2025

Kijili alijiunga na kikosi chetu Julai mwaka jana akitokea Singida Black Stars na amekuwa akijitoa kwenye kila mchezo aliopata nafasi ya kucheza.

Katika kipindi cha mwaka mmoja alichodumu ndani ya kikosi chetu Kijili amekuwa mtumishi mtiifu na nidhamu yake ilikuwa ya kiwango cha juu.

Advertisement

Kijili ni miongoni mwa walinzi vijana wenye uwezo mkubwa wa kukaba na kushambulia kupitia pemebeni hivyo tunaamini atafanya vizuri huko aendako.

Uongozi wa klabu unamtakia Kijili kheri na mafanikio katika maisha yake mapya ya soka nje ya Simba.

Back to homepage
Share this story