Simba Sports Club
News

Kwaheri Jentrix Shikangwa

24 Jul 2023

Jentrix raia wa Kenya tulimsajili kutoka Vihiga Queens mwaka mmoja uliopita na amekuwa muhimili wa timu tangu ajiunge.

Jentrix ndiye mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Wanawake (Serengeti Lite Women's Premier League) msimu uliopita baada ya kufunga mabao 17.

Advertisement

Uongozi wa klabu unamtakia kila la kheri Jentrix katika maisha yake mapya ya soka nje ya Simba Queens.

Back to homepage
Share this story