Simba Sports Club
News

Kwaheri Hussein Kazi

13 Jul 2025

Kazi alijiunga nasi msimu wa 2023/2024 akitokea Geita Gold akisaini mkataba wa miaka miwili ambayo imefikia tamati.

Kazi ni miongoni mwa mabeki vijana wenye uwezo mkubwa ambao ni hazina ya Taifa katika miaka ya baadae kutokana na umahiri wake.

Advertisement

Uongozi wa Klabu unamtakia Kazi kheri na mafanikio mema katika maisha yake mapya ya soka nje ya Simba.

Back to homepage
Share this story