Fareed raia wa Afrika Kusini amejiunga na kikosi chetu Septemba 2021 na amefanya kazi yake kwa weledi mkubwa.
Uongozi wa klabu unamshukuru Fareed na unamtakia kheri katika maisha yake mapya nje ya kikosi chetu.
Advertisement
Mchakato wa kutafuta mchua misuli mpya unaendelea na tunategemea atapatikana kabla ya kuanza maandalizi ya msimu mpya wa ligi (Pre Season).