Gadiel amejiunga nasi mwaka 2019 akitokea Yanga akiwa mchezaji huru na mara zote amekuwa akitimiza majukumu yake vema kila anapopata nafasi.
Tunamshukuru Gadiel kwa utumishi wake uliotukuka ndani ya kikosi chetu katika muda wote wa miaka minne aliyodumu nasi.
Advertisement
Uongozi wa klabu unamtakia kheri Gadiel katika maisha yake mapya nje ya kikosi chetu.