Simba Sports Club
News

Kufuzu Makundi Afrika, Mgunda awataja wachezaji, viongozi

17 Oct 2022

Amesema yeye peke yake asingeweza kama sio ushirikiano aliopewa na watu waliomzunguka wakiwemo wasaidizi wake na wachezaji.

Baada ya kufikia malengo ya kwanza Mgunda amesema maandalizi kuelekea hatua inayofuata yataanza mara moja kwakuwa michuano inazidi kuwa migumu.

Advertisement

"Mafanikio haya si yangu peke yangu bali benchi langu zima, wachezaji, viongozi na mashabiki kila mmoja kwa nafasi yake ametimiza majukumu yake.

"Nawapongeza wachezaji wangu kwa kufuata maelekezo tuliyokuwa tunawapa kwa vitendo, wamefanya kazi yangu kuwa rahisi," amesema Mgunda.

Back to homepage
Share this story