Simba Sports Club
News

Kramo nje ya uwanja miezi miwili

23 Oct 2023

Baada ya upasuaji huo imefahamika Kramo anatakiwa kuwa nje ya uwanja kwa muda huo ili apone na kurejea uwanjani akiwa kamili.

Kramo aliumia katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Ngome FC wakati timu ikijiandaa na mchezo wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos ya Zambia uliopigwa mjini Ndola, Septemba 16.

Advertisement

Tunatarajia baada ya kipindi hicho Kramo atakuwa timamu kuonyesha kipaji chake uwanjani na kuisaidia timu.

Back to homepage
Share this story