Simba Sports Club
News

Kramo, Che Malone, Baleke, Onana waanza mazoezi ya Gym

18 Jul 2023

Nyota hao wameungana na wenzao kambini jana nchini Uturuki kuendelea na maandalizi ya msimu mpya wa mashindano.

Kabla ya kuanza mazoezi ya uwanjani pamoja na wenzao wametakiwa kuanzia gym ili kutengeneza utimamu wa mwili.

Advertisement

Wachezaji hao wataendelea na programu ya mazoezi pamoja na wenzao jioni.

Back to homepage
Share this story