Simba Sports Club
News

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Yanga

19 Oct 2024

Utakuwa mchezo mgumu tunawaheshimu watani kutokana na ubora na aina ya wachezaji walionao lakini tumejipanga kuhakikisha tunapambana kupata pointi zote tatu.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Moussa Camara (26), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Abdulrazack Hamza (14), Che Malone (20), Yusuph Kagoma (21), Kibu Denis (38), Debora Fernandes (17), Leonel Ateba (13), Jean Charles Ahoua (10), Joshua Mutale (7).

Advertisement

Wachezaji wa Akiba:

Ally Salim (1), Kelvin Kijili (33), Karaboue Chamou (2), Fabrice Ngoma (6), Awesu Awesu (23), Augustine Okejepha (25), Edwin Balua (37), Steven Mukwala (11), Shadrack Daniel (52), Benjamin William (50).

Back to homepage
Share this story