Kocha Mkuu Roberto Oliveira 'Robertinho' amefanya mabadiliko ya wachezaji sita ukilinganisha na kikosi kilichocheza mechi ya mwisho dhidi ya Ihefu.
Mlinda mlango Ally Salim ambaye alionyesha kiwango bora katika mchezo uliopita dhidi ya Ihefu amepewa nafasi ya kuanza leo.
Kikosi Kamili kilivyopangwa
Advertisement
Ally Salim (1), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Joash Onyango (16), Henock Inonga (29), Erasto Nyoni (18), Clatous Chama (17), Mzamiru Yassin (19), Jean Baleke (4), Saido Ntibazonkiza (39), Kibu Denis (38).
Wachezaji wa Akiba:
Beno Kakolanya (30), Israel Patrick (5), Gadiel Michael (2), Kennedy Juma (26), Nassor Kapama (35), Peter Banda (11), John Bocco (22), Moses Phiri (25), Pape Sakho (10).