Kama kawaida Phiri atapata msaada wa karibu kutoka kwa viungo washambuliaji Clatous Chama, Pape Sakho na Augustine Okrah.
Mchezaji mwandamizi Jonas Mkude ataongoza safu ya kiungo wa ulinzi ambapo atacheza sambamba na Mzamiru Yassin.
Kikosi kamili kilivyopangwa
Aishi Manula (28), Israel Patrick (5), Mohamed Hussein (15), Joash Onyango (16), Henock Inonga (29), Jonas Mkude (20), Pape Sakho (10), Mzamiru Yassin (19), Moses Phiri (25), Clatous Chama (17),
Advertisement
Augustine Okrah (27).
Wachezaji wa akiba
Beno Kakolanya (30), Erasto Nyoni (18), Gadiel Michael (2), Kennedy Juma (26), Nassor Kapama (35), Peter Banda (11), John Bocco (22), Habibu Kyombo (32), Kibu Denis (38).