Simba Sports Club
News

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Yanga

25 Jun 2025

Kocha Fadlu Davids amefanya mabadiliko ya wachezaji watano ukilinganisha na kikosi kilichocheza mechi iliyopita dhidi ya Kagera Sugar.

Fadlu amewaanzisha Shomari Kapombe, Mohamed Hussein, Yusuph Kagoma, Joshua Mutale na Elie Mpanzu wakichukua nafasi za David Kameta, Valentine Nouma, Deborah Fernandes na Kibu Denis.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Advertisement

Moussa Camara (26), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Karaboue Chamou (2), Che Malone (20), Yusuph Kagoma (21), Joshua Mutale (7), Fabrice Ngoma (6), Steven Mukwala (11), Jean Charles Ahoua (10), Elie Mpanzu (34).

Wachezaji wa Akiba:

Ally Salim (1), Valentine Nouma (29), Abdulrazack Hamza (14), Augustine Okajepha (25), Kibu Denis (38), Debora Fernandes (17), Leonel Ateba (13), Awesu Awesu (23), Valentine Mashaka (27), Bashir Salum (59).

Back to homepage
Share this story