Kocha Mkuu, Steve Barker hajafanya mabadiliko ya mchezaji yoyote ukilinganisha na kikosi kilichocheza mechi iliyopita dhidi ya Singida Black Stars.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Djibrilla Kassali (39), Shomari Kapombe (12), Nickson Kibabage (32), Ismail Toure (25), Rushine De Reuck (23), Yusuph Kagoma (21), Libasse Gueye (7), Allasane Kante (8), Anicet Oura (20), Inno loemba (10), Clatous Chama (17).
Advertisement
Wachezaji wa Akiba:
Hussein Abel (28), David Duchu (15), Anthony Mligo (5), Hussein Mbegu (60), Vedastus Masinde (4), Naby Camara (30), Bashiri Kibaila (63), Daud Semfuko (37), Morice Abraham (18), Elie Mpanzu (34).