Simba Sports Club
News

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya TRA United

22 Mar 2026

Kocha mkuu Steve Barker amefanya mabadiliko ya wachezaji wawili ukilinganisha na kikosi kilichocheza mechi iliyopita dhidi ya Pamba Jiji.

Barker amewaanzisha kiungo mshambuliaji, Neo Maema na mshambuliaji Seleman Mwalimu wakichukua nafasi za Elie Mpanzu na Allasane Kante.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Advertisement

Djibrilla Kassali (39), Shomari Kapombe (12), Nickson Kibabage (32), Ismail Toure (25), Rushine De Reuck (23), Yusuph Kagoma (21), Libasse Gueye (7), Clatous Chama (17), Seleman Mwalimu (40), Neo Maema (35). Anicet Oura (20),

Wachezaji wa Akiba:

Hussein Abel (28), David Duchu (15), Anthony Mligo (5), Hussein Mbegu (60), Naby Camara (30), Daud Semfuko (37), Allasane Kante (8), Elie Mpanzu (34), Morice Abraham (18), Bashiri Kibaila (63),

Back to homepage
Share this story