Kocha Mkuu Steve Barker amefanya mabadiliko ya mchezaji mmoja ukilinganisha na kikosi kilichocheza mechi iliyopita dhidi ya Azam FC.
Barker amemuanzisha kiungo mshambuliaji, Neo Maema ambaye amechukua nafasi ya, Clatous Chama.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Advertisement
Djibrilla Kassali (39), Shomari Kapombe (12), Nickson Kibabage (32), Ismail Toure (25), Rushine De Reuck (23), Yusuph Kagoma (21), Libasse Gueye (7), Allasane Kante (8), Seleman Mwalimu (40), Neo Maema (35), Anicet Oura (20).
Wachezaji wa Akiba:
Hussein Abel (28), David Duchu (15), Anthony Mligo (5), Hussein Mbegu (60), Daud Semfuko (37), Ladack Chasambi (36), Morice Abraham (18), Inno loemba (10), Clatous Chama (17), Bashiri Kibaila (63).