Simba Sports Club
News

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Tanzania Prisons

22 Feb 2026

Kocha Mkuu Steve Barker amewaanzisha nyota wawili pekee ambao walianza katika mchezo uliopita wa hatua ya 64 bora ya CRDB Federation Cup dhidi ya Green land ya Kagera wiki iliyopita.

Nyota hao walioanza ni winga, Libasse Gueye na kiungo mshambuliaji, Inno Jospin Loemba.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Advertisement

Djibrilla Kassali (39), Shomari Kapombe (12), Nickson Kibabage (32), Ismail Toure (25), Rushine De Reuck (23), Yusuph Kagoma (21), Libasse Gueye (7), Clatous Chama (17), Seleman Mwalimu (40), Inno Loemba (10), Anicet Oura (20).

Wachezaji wa Akiba:

Hussein Abel (28), David Duchu (15), Anthony Mligo (5), Vedastus Masinde (4), Naby Camara (30), Daud Semfuko (37), Bashiri Kibaila (63), Neo Maema (35), Baraka Mwangosi (11), Elie Mpanzu (34).

Back to homepage
Share this story