Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha amefanya mabadiliko ya wachezaji watano kulinganisha na kile kilichoibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya Mashujaa FC siku ya Jumamosi
Benchikha amewaanzisha Ayoub Lakred, Shomari Kapombe, Kennedy Juma, Pa Omar Jobe na Clatous Chama kuchukua nafasi za Aishi Manula, Israel Patrick, Hussein Kazi, Fred Michael na Mzamiru Yassin.
Hiki hapa kikosi kamili kilivyopangwa:
Ayoub Lakred (40), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Kennedy juma (16), Che Malone (20), Babacar Sarr (33), Kibu Denis (38), Sadio Kanoute (8), Pa Omar Jobe (2), Said Ntibazonkiza (10),Clatous Chama (17).
Wachezaji wa Akiba
Aishi Manula (28), Hussein Kazi (16), Israel Mwenda (5), Mzamiru Yassin (19), Abdallah Hamisi (13), Luis Miquissone (11), Edwin Balua (37), Freddy Koubalan (18), David Kameta (3)