Kocha Mkuu, Fadlu Davids amepanga kikosi kile kile kilichocheza mechi ya mkondo wa kwanza uliopigwa Uwanja wa Amaan Zanzibar, Aprili 20 tulioibuka na ushindi wa bao moja.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Moussa Camara (40), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Karaboue Chamou (2), Abdurazak Hamza (14), Yusuph Kagoma (21), Kibu Denis (38), Fabrice Ngoma (6), Steve Mukwala (11), Jean Charles Ahoua (10), Elie Mpanzu (34).
Advertisement
Wachezaji wa Akiba:
Ally Salim (1), David Kameta (3), Valentine Nouma (29), Edwin Balua (37), Debora Fernandes (17), Awesu Awesu (23), Leonel Ateba (13), Che Fondoh Malone (20).