Meneja Mkuu Dimitar Pantev amefanya mabadiliko ya wachezaji wawili ukilinganisha na kikosi kilichocheza mechi iliyopita dhidi ya Petro De Luanda.
Pantev amewaanzisha mshambuliaji Seleman Mwalimu na kiungo mshambuliaji Jean Charles Ahoua wakichukua nafasi za Morice Abraham na Allasane Kante.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Yakoub Suleiman (22), Shomari Kapombe (12), Anthony Mligo (5), Wilson Nangu (31), Rushine De Reuck (23), Naby Camara (30), Joshua Mutale (7), Neo Maema (35), Seleman Mwalimu (40), Jean Charles Ahoua (10), Elie Mpanzu (34).
Wachezaji wa Akiba:
Hussein Abel (28), David Kameta (15), Karaboue Chamou (2), Yusuph Kagoma (21), Hussein Semfuko (37), Allasane Kante (8), Jonathan Sowah (3), Steven Mukwala (11), Morice Abraham (18).