Simba Sports Club
News

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Singida Black Stars

28 May 2025

Kocha Mkuu Fadlu Davids hajafanya mabadiliko ya mchezaji yoyote ukilinganisha na kikosi kilichocheza fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane Jumapili iliyopita.

Moussa Camara (26), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Karaboue Chamou (2), Che Malone (20), Yusuph Kagoma (21), Joshua Mutale (7), Fabrice Ngoma (6), Steven Mukwala (11), Jean Charles Ahoua (10), Elie Mpanzu (34).

Advertisement

Wachezaji wa Akiba:

Ally Salim (1), David Kameta (3), Abdurazak Hamza (14), Augustine Okajepha (25), Ladaki Chasambi (36), Deborah Fernandes (17), Leonel Ateba (13), Kibu Denis (38), Valentino Mashaka (27), Bashir Salum (59).

Back to homepage
Share this story