Simba Sports Club
News

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Singida Black Stars

11 Mar 2026

Ni wachezaji wanne tu ndio walianza kwenye mchezo uliopita wa hatua ya 32 ya CRDB Federation dhidi ya B19 ambao tuliibuka na ushindi wa mabao 2-0.

Nyota hao ni mlinzi wa kati, Ismail Toure kiungo mkabaji, Allasane Kante na viungo washambuliaji Inno Loemba na Libasse Gueye.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Advertisement

Djibrilla Kassali (39), Shomari Kapombe (12), Nickson Kibabage (32), Ismail Toure (25), Rushine De Reuck (23), Yusuph Kagoma (21), Libasse Gueye (7), Allasane Kante (8), Anicet Oura (20), Inno loemba (10), Clatous Chama (17).

Wachezaji wa Akiba:

Hussein Abel (28), David Duchu (15), Anthony Mligo (5), Hussein Mbegu (60), Daud Semfuko (37), Naby Camara (30), Bashiri Kibaila (63), Baraka Mwangosi (11), Morice Abraham (18), Elie Mpanzu (34).

Back to homepage
Share this story