Simba Sports Club
News

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya SHE Corporates

17 Aug 2022 By simbasc 568 views
Kikosi chetu cha Timu ya Wanawake ya Simba Queens leo kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili SHE Corporates ya Uganda katika mchezo wa pili michuano ya Ligi ya Mabingwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) utakaoanza saa nane mchana. Queens itaingia kwenye mchezo wa leo tukiwa na kumbukumbu ya ushindi mabao 6-0 tuliopata juzi dhidi ya Garde Republicains ya Djibouti katika mchezo wa kwanza. Kikosi Kamili kilivyopangwa Gelwa yonah (21), Diana William (15), Fatuma Issa (5),Esther Mayala (23),Daniela Kanyanya (22), Vivian Corazone (4), Pambani Kuzoya (17), Joelle Bukuru (18), Opa Clement (7), Asha Djafari (24) Philomena Abakah (27). Wachezaji wa Akiba. Zubeda Mgunda (29), Doto Evarist (11), Silvia Mwacha (12), Violeth Nicholaus (26), Topister Situma (13), Olaiya Barakat (9), Amina Ramadhani (14), Aisha Juma (10) Sarrive Badiambila (2).
Advertisement
Back to homepage
Share this story