Simba Sports Club
News

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Raja Leo

31 Mar 2023

Kocha Mkuu Roberto Oliviera 'Robertinho' amefanya mabadiliko ya wachezaji wawili ukilinganisha na kikosi kilichocheza na Horoya, Machi 18 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa na kuibuka na ushindi mnono wa mabao 7-0.

Robertinho amemuanzisha beki Gadiel Michael kuchukua nafasi ya Mohamed Hussein 'Zimbwe Jr' anatumikia adhabu ya kadi tatu za njano na Erasto Nyoni aliyechukua nafasi ya Sadio Kanoute.

Kikosi kamili kilichopangwa:

Advertisement

Aishi Manula (28), Shomari Kapombe (12), Gadiel Michael (2), Joash Onyango (16), Henock Inonga (29), Erasto Nyoni (18), Clatous Chama (17), Mzamiru Yassin (19), Jean Baleke (4), Saido Ntibazonkiza (39), Kibu Denis (38).

Wachezaji wa Akiba:

Beno Kakolanya (30), Israel Patrick (5), Kennedy Juma (26), Nassor Kapama (35), Pape Sakho (10), John Bocco (22), Moses Phiri (25), Habibu Kyombo (32), Ally Salim (1).

Back to homepage
Share this story