Simba Sports Club
News

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Raja Casablanca Leo

18 Feb 2023 By simbasc 226 views
Leo saa moja usiku katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kikosi chetu kitashuka dimbani kuikabili Raja Casablanca kwenye mchezo wa pili wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Kikosi kamili kilichopangwa: Aishi Manula (28), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Joash Onyango (16), Henock Inonga (29), Ismael Sawadogo (3), Pape Sakho (10), Mzamiru Yassin (19), John Bocco (22), Saido Ntibazonkiza (39), Clatous Chama (17). Wachezaji wa Akiba Beno Kakolanya (30), Israel Patrick (5), Kennedy Juma (26), Mohamed Ouattara (33), Jonas Mkude (20), Kibu Denis (38), Jean Baleke (4), Habibu Kyombo (32), Moses Phiri (25).
Advertisement
Back to homepage
Share this story