Simba Sports Club
News

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Pamba Jiji

22 Nov 2024

Kocha Fadlu Davids amefanya mabadiliko ya mchezaji mmoja katika kikosi cha leo ukilinganisha na kile kilichoanza dhidi ya KMC mchezo uliopita ambao tuliibuka na ushindi wa mabao 4-0.

Kocha Fadlu amemuanzisha Leonel Ateba ambaye amechukua nafasi ya Steven Mukwala aliyeanzia benchi.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Advertisement

Moussa Camara (26) Shomari Kapombe (12), Valentine Nouma (29), Karaboue Chamou (2), Che Malone (20), Fabrice Ngoma (6), Ladaki Chasambi (36), Deborah Fernandez (17), Leonel Ateba (13), Jean Charles Ahoua (10), Awesu Awesu (23).

Wachezaji wa Akiba:

Ally Salim (1), Abdulrazack Hamza (14), Mohamed Hussein (15), Omary Omary (8), Mzamiru Yassin (19), Augustine Okajepha (25), Kibu Denis (38), Steven Mukwala (11), Valentino Mashaka (27), Okeji (44).

Back to homepage
Share this story