Meneja Mkuu, Dimitar Pantev amefanya mabadiliko ya wachezaji watano ukilinganisha na kikosi kilichoanza mchezo uliopita nchini Eswatini.
Pantev amewaanzisha David Kameta 'Duchu' Chamou Karaboue, Yusuph Kagoma, Kibu Denis na Morice Abraham wakichukua nafasi za Shomari Kapombe, Wilson Nangu, Naby Camara, Neo Maema na Seleman Mwalimu.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Yakoub Suleiman (22), David Kameta (15), Anthony Mligo (5), Karaboue Chamou (2), Rushine De Reuck (23), Yusuph Kagoma (21), Kibu Denis (38), Morice Abraham (18), Joshua Mutale (7), Jean Charles Ahoua (10), Elie Mpanzu (34).
Wachezaji wa Akiba:
Hussein Abel (28), Shomari Kapombe (12), Naby Camara (30), Wilson Nangu (31), Allasane Kante (8), Neo Maema (35), Jonathan Sowah (3), Steven Mukwala (11), Awesu Awesu (33).